Saturday, 23 November 2013

HII NI LAANA...!! HUYU NDIO MWANAMKE MWENYE UMRI WA MIAKA 28 ALIYEFANYA MAPENZI NA WANAUME 1000 MPAKA SASA..!!Tracy Lawrence raia wa ghana mwenye umri wa miaka 28 alijitoa muhanga kwa kufanya mapenzi na wanaume 1,000 tofautitofauti, Siku alipofanya mapenzi na mwanaume wa 738 akachangamka ndani ya mwaka mmoja na miezi 4 akahakikisha ametimiza hesabu ya
wanaume 1,000, Ameahidi kwamba mpaka tarehe 24th mwezi wa kwanza 2014 atahakikisha ametimiza hesabu yake anayoitarajia kuvunja nayo rekodi.

Hatari tupu...!!! Soma maneno yake hapa chini."I am me, take me for who I am. It's my life and life is short so I'm going to live it to the fullest and have fun. #Getting-to-a-thousand-baby Mmmuaaah"

No comments:

Post a Comment